Ufahamu wa nyoka: Mlowezi afunza Wakenya tabia za nyoka
5th June, 2015
Nyoka huogopwa na kuhofiwa na kila mtu kwa hivyo watu wengi hawana ufahamu wa hatua ya kuchukua iwapo watapatwa na bahati mbaya ya kuumwa na kiumbe huyo... Huenda ni kutokana na hali hii ndipo mlowezi mmoja wa eneo la Lewa amejitolea kuwafunza Wakenya jinsi ya kuwatambua nyoka wenye sumu mbaya ili kujiokoa wanapoumwa