×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu watano wapoteza maisha kwenye ajali katika barabara ya Kajiado-Namanga

5th June, 2015

Watu watano wamepoteza maisha kwenye ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Isinya kwenye barabara ya Kajiado-Namanga. Kulingana na polisi,watu hao waliokuwa wakielekea nyumbani kutoka maeneo ya burudani, walikuwa wakiendesha gari hilo kwa mwendo wa kasi kupita kiasi.
.
RELATED VIDEOS