Sheria mpya zinazokisiwa kumkandamiza mama mboga zaiibua mseto wa mijadala kali miongoni mwa Wakenya
31st May, 2015
Sheria mpya zinazokisiwa kumkandamiza mama mboga zimeibua mseto wa mijadala kali miongoni mwa Wakenya wanaotegemea wauzaji wa bidhaa hizi mitaani. Mamlaka ya usimamizi wa kilimo,uvuvi na vyakula imetoa pendekezo ya sheria zitakazotumika kubuni sheria ya mimea ya mwaka 2013 .