×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waitiki ajitenga na tuhuma za kushirikiana na waziri Ngilu katika jaribio la kuilaghai serikali

27th May, 2015

Evanson Kamau Waitiki amejitenga na tuhuma za kushirikiana na waziri Charity Ngilu katika jaribio la kuilaghai serikali.kwenye ripoti ya tume ya ufisadi na maadili Ngilu alidaiwa kushirikiana na Waitiki katika kuongeza bei ya shamba la Waitiki lililoko Likoni kwa shilingi milioni mia moja na kumi.
.
RELATED VIDEOS