Maaskofu wametoa wito kwa Barack Obama kutozungumzia mashoga na wasagaji
15th May, 2015
Huku rais wa Marekani Barak Obama akitarajiwa kuzuru Kenya mwezi Julai baadhi ya misimamo yake imekuwa ikikisolewa na hasa makanisa nchini. Wiki jana maaskofu wametoa wito kwa kiongozi huyo kutozungumzia suala la mashoga na wasagaji atakapofika Kenya huku wakitangaza maandamano hivi karibuni kutoa ujumbe huo kwa serikali ya Marekani.