Waandishi habari wa Standard Group na Nation Media Group washambuliwa na wafuasi wa AFC Leopards
13th May, 2015
Waandishi habari wa Standard Group akiwemo Francis Ontomwa wa KTN na wenzao wa Nation Media Group mjini Mombasa leo wameshambuliwa na wafuasi wa klabu ya AFC Leopards mjini humo.