×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu 9 wafariki Mukuru Fuata Nyayo baada ya ukuta kuwaangukia kutokana na mvua kubwa

12th May, 2015

Watu 9 wameripotiwa kufariki katika mtaa wa mabanda wa Mukuru Fuata Nyayo hapa Nairobi baada ya ukuta kuwaangukia kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana usiku hapa Nairobi. Watu wengine 4 wamelazwa hosptilani na wanaendelea kupokea matibabu zaidi.
.
RELATED VIDEOS