×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shughuli za mafunzo katika Chuo cha KTTC yalikatizwa baada ya wanafunzi kugoma

11th May, 2015

Shughuli za mafunzo katika Chuo cha Kitaifa cha Mafunzo ya Teknolojia ya Elimu KTTC yalikatizwa baada ya wanafunzi kugoma wakimtaka mwalimu mkuu wa shule hiyo kuondolewa. Wanafunzi hao wanamlaumu mwalimu mkuu kwa kutowapa mabweni mazuri ya kulipia gharama hiyo kwenye karo ya shule. Wanafunzi hao wamesema kuwa wamelazimika kutafuta malazi mbadala nje ya shule. Wanadai pia kuna baadhi ya wanafunzi kama wanne hivi ambao wamefariki mwezi mmoja uliopita kutokana na ukosefu wa usalama.
.
RELATED VIDEOS