×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakimbizi zaidi ya laki tatu kutoka Somalia wanaiomba serikali ya Kenya kutowafurusha toka Dadaab

9th May, 2015

Wakimbizi zaidi ya laki tatu kutoka nchini Somalia walioko katika kambi ya Dadaab wanaiomba serikali ya Kenya kutowafurusha kambini humo kutokana na hofu ya hali ya vita nchini kwao. Hata hivyo wasi wasi wao unajiri siku chache tu baada ya serikali kukubaliana na shirika la umoja wa mataifa la kushughulikia wakimbizi -UNHCR kwamba haitawalazimisha kurudi makwao.
.
RELATED VIDEOS