x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkurugenzi mkuu wa NEMA asema tume hiyo haina uwezo wa kufuatilia kila kinachoendelea viwandani

06, May 2015

‘’hatuna uwezo wa kufuatilia kila kinachoendelea katika viwanda mbali mbali vya humu nchini’’ hii ndio kauli ya geoffrey wahungu ambaye ndiye mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya kitaifa yanayosimamia mazingira nema baada ya kufika mbele ya kamati ya bunge kuhusu mazingira hii leo. Wahungu alitakiwa kuieleza kamati hiyo wajibu wao kuhusiana na uchafuzi wa mazingira uliotekelezwa na kiwanda cha kutengeneza madini aina ya lead katika kitongoji cha owino -uhuru mjini mombasa.

RELATED VIDEOS


Feedback