Mbunge wa Nyali Awiti Bolo apinga madai ya kuhusishwa na kiwanda kilichosababisha vifo
29th April, 2015
Mbunge wa Nyali Hezron Awiti Bolo amejitokeza kujitetea baada ya kuhusishwa na kiwanda kilichochafua mazingira na kutoa sumu ya lead ambayo imedaiwa kuwaua wakaazi wengi wa mtaa wa Owino Uhuru mjini Mombasa.