x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Zaidi ya familia 1000 zafurushwa na nyumba zao kuteketezwa Mau

28, Apr 2015

Zaidi ya familia 1000 zilizokuwa zikiishi kwenye msitu wa mau, sehemu ya Maasai mau, zimefurushwa na nyumba zao kuteketezwa. Maskwota hao sasa wamepiga kambi katika eneo la Kipchoge wakisubiri serikali kuwapa makao mbadala.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback