Kaimu spika wa Kisumu Pamela Jossy azirai na kupelekwa hospitalina kufuatia kizaazaa bungeni
28th April, 2015
Kaimu spika wa bunge la kautni ya Kisumu Pamela Jossy mapema hii leo alipelekwa hospitalini baada ya vurugu kutokea kwenye bunge hilo.Pamela amekuwa akishkilia wadhfa huo baada ya spika Anne Adul kung’atuliwa na wabunge wenzake.