×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Mike Sonko na katibu Mutea Iringo wafika mbele ya tume ya EACC na kujitetea

24th April, 2015

Afisa mkuu mtendaji wa tume ya maadili na kupambana ufisadi eacc khalake waqo amesema kwamba kusimamishwa kazi kwa mwenyekiti wake mumo matemu pamoja na naibu wake irene keino hakutositisha kamwe shughuli za tume hiyo . Wakati huo huo seneta wa nairobi mike sonko na katibu mutea iringo walifika mbele ya tume ya eacc na kuandikisha taarifa kuhusiana na madai ya ufisadi.
.
RELATED VIDEOS