×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wauguzi wasitisha mgomo unaokuwa ukiendelea katika Kaunti ya Mombasa

20th April, 2015

Mgomo wa wauguzi katika kaunti ya mombasa umeingia siku ya tano bila suluhu yoyote kupatikana, hali ambayo imeacha maisha ya wagonjwa wengi hatarini. Mvutano sasa umeibuka huku kaunti ya mombasa ikifika mahakamani kuwalazimisha wauguzi kurejea kazini wakati ambao wauguzi hao kupitia katibu wao mkuu wanaihimiza serikali ya taifa kusimamia sekta ya afya wakidai serikali ya kaunti ya mombasa imelemewa na shughuli hiyo.
.
RELATED VIDEOS