×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyibiashara wa mashirika yanayodaiwa kufadhili Alshabab watoa habari kwa upelelezi

13th April, 2015

Kufuatia kufungwa kwa mashirika ya kibiashara na yasiyo ya kiserikali yanayodaiwa kufadhili kundi haramu la Alshabab, leo baadhi ya wafanyibiashara na wasimamizi wa mashirika hayo walifika katika kituo cha maafisa wa upelelezi eneo la South C ili kutoa habari na stakabadhi muhimu zilizohitajika. Elvis Kosgei na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS