×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Madereva wa magari ya masafa marefu walalamikia magari binafsi kubeba abiria

11th April, 2015

Magari yaliyo na uzito wa zaidi ya tani nane yatalizimishwa kutoka jijini na kutumia barabara ya southern by-pass. Hii ni hatua ya kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya mombasa na ile ya uhuru highway. Na kama anavyotuarifu nicholas wambua, barabara hiyo itafungwa wiki ijayo kurahisisha ujenzi utakaochukua muda wa wiki moja kabla ya kufunguliwa kwake ijumaa ijayo.
.
RELATED VIDEOS