×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wazee wa Kaya waitaka serikali kuwapa hati miliki za Kaya wanazozitumia kama sehemu za ibada

9th April, 2015

Wazee wa Kaya huko Pwani ya Kenya sasa wameitaka serikali kuwapa hati miliki za Kaya tofauti wanazozitumia kama sehemu za ibada kwa jamii ya Wamijikenda . Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Mombasa,naibu mwenyekiti wa wazee hao,Shaaban Ndegwa alisema kwamba kuna hofu ya kuangamia kwa kaya hizo kupitia unyakuzi wa ardhi
.
RELATED VIDEOS