×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wazazi wa mshukiwa mmoja wa ugaidi anayetafutwa na serikali wajisalimisha mjini Mombasa

7th April, 2015

Hatimaye wazazi wa mshukiwa mmoja wa ugaidi anayetafutwa na serikali wamejisalimisha mjini Mombasa wakisema hawajaonana wala kumsikia mwana wao kwa muda wa zaidi ya miezi tisa. Wazazi hao wamedai kushtushwa mno walipoona picha ya mtoto wao imechapishwa miongoni mwa magaidi sugu wanaotafutwa. Hayo yanajiri wakati washukiwa 6 wa shambulizi la Alshabaab wakifikishwa mahakamani. John Juma na taarifa Zaidi
.
RELATED VIDEOS