Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Garissa wadai kuwa wanao wametoweka
7th April, 2015
Kumezuka malalamishi kutoka kwa baadhi ya wazazi wa wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Garissa huku ikibainika kuwa watoto wao hawako katika hifadhi ya Chiromo na wala hawajasafirishwa makwao.