×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wasita wafariki katika jumba lililoporomoka Roysambu

6th April, 2015

Shughuli ya kufukua vifusi vya jumba moja lililoporomoka mtaani roysambu imekamilika hii leo. Akitoa ripoti ya operesheni hiyo , afisa aliyesimamia shughuli hiyo alisema kuwa jumla ya watu 7 walipoteza maisha yao na wengine tisa kupata majeraha hata hivyo mbunge wa eneo la Roysambu waihenya ndirangu alesema atawapeleka mahakamani idara inayo simamia ujenzi na serikali ya kaunti kwa kutowajibika pamoja na kutoa leseni za ujenzi kiholela .
.
RELATED VIDEOS