x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

William Ruto apongeza kikundi cha usalama kwa kazi nzuri kwenye shambulizi la Garissa

06, Apr 2015

Huku idara za usalama zikikosolewa kwa kuchelewesha oparesheni ya kuwaokoa wanafunzi wa chuo kikuu cha Garissa,serikali imetoa kongole kwa vikosi vya usalama kwa kile inakitaja kuwa wepesi wao katika kukabiliana na hali ya dharura katika chuo kikuu cha Garissa.

Feedback