x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mzee Daniel Moi ataka Rais Uhuru Kenyatta kuimarisha usalama nchini

04, Apr 2015

Rais mstaafu daniel arap moi amekashifu vikali mauaji ya kigaidi yaliyotekelezwa katika chuo cha garissa na kusisitiza kuwa ni jukumu la serikali kuwahakikishia wakenya usalama wao. Mzee moi ameiomba serikali kutekeleza sera muhimu ili kutilia kikomo mauaji ya mara kwa mara humu nchini. Mzee moi pia ameitaka serikali kuwapa wakenya majibu kuhusu masuali muhimu yanayohusu usalama wa taifa.moi ametoa risala za rambi rambi kwa ndugu, jamaa na marafiki wa waliofariki. Rais mstaafu alikuwa akihutubu katika shule ya upili ya kapsabet wakati wa utoaji tuzo kwa wanafunzi waliofanya vyema kwenye mtihani wa kcse wa mwaka jana.

RELATED VIDEOS


Feedback