x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Waziri Ngilu hajafurahishwa na hatua ya Rais Uhuru Kenyatta ya kumtaka ajiondoe afisini

30, Mar 2015

Waziri wa Ardhi Charity Ngilu amejiondoa afisini ili kutoa nafasi ya uchunguzi dhidi yake kufuatia madai aliyolimbikiziwa ya kuhusika kwenye ufisadi. Ngilu ambaye amekua waziri wa 5 kujiondoa mamlakani amewalaumu watu wenye ushawishi mkuu serikalini kwa masaibu anayoyapitia, huku akitoa hakikisho kwamba atarejea katika afisi zake zilizopo katika jumba la ardhi. Waziri Ngilu hajafurahishwa na hatua iliyochukuliwa na Rais Uhuru Kenyatta ya kumtaka ajiondowe,ingawa alikariri kuwa anaunga mkono vita dhidi ya ufisadi.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback