x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Zaidi ya vijana 100 wavamia mkahawa wa kichina unaozingirwa na madai ya ubaguzi wa rangi

27, Mar 2015

Zaidi ya vijana 100 wamevamia mkahawa wa Kichina unaozingirwa na madai ya ubaguzi wa rangi wakaupora na kubeba vifaa vyake huku wakitoa matamshi makali dhidi ya wamiliki .Vijana hao wanadai wamefanya hivyo kama njia ya kupinga sera za mkahawa huo zinazowabagua raia asili wa Kenya.

RELATED VIDEOS


Feedback