×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mamia ya wakulima waandamana nje ya mabohari ya NCPB

18th March, 2015

Mamia ya wakulima wameegesha malori ya kubebea mazao yao na kuandamana nje ya mabohari ya bodi ya kitaifa ya nafaka na mazao NCPB, baada ya kuarifiwa kuwa serikali haitonunua mazao ya nafaka walioyatoa mashambani. Ilikua vigumu kwa maafisa wa halmashauri hio kuingia kazini hali iliotatizwa na magari yao kuifunga njia ya kuelekea lango kuu la afisi za bodi hio.
.
RELATED VIDEOS