Kikwetu: Dawa za kienyeji ambazo zilitumiwa na jamii ya Omogusii nyakati za kalé
17th March, 2015
Katika makala ya kikwetu leo tunaangazia dawa za kienyeji ambazo zilitumiwa na jamii ya Omogusii nyakati za kalé.hivi sasa dawa hizo kwa jina Rirongo pamoja na Amanyasi zinaendelea kutumika na zinaaminika kutibu masaibu tofauti.