Shule inayofuatilia maadili mema bila viranja
14th March, 2015
Shule ya upili ya wasichana ya Butere katika kaunti ya Kakamega iliyojulikana zamani kama Patel kutokana na jina la mmiliki wake sasa imegundua mbinu mpya ya kuimarisha maadili mema na matokeo bora kwenye mitihani ya kitaifa.