Voli boli: Kenya prisons kuondoka Tunisia mikono mitupu
13th March, 2015
Wawakilishi wa Kenya katika mashindano ya voliboli ya vilabu vya wanaume barani, polisi ya GSU na ile ya Magereza ya Kenya wataondoka Tunisia mikono mitupu baada ya kukosa kufuzu wa makondo wa robo fainali.