G4S na wakfu wa Bhubesi Pride wakitilia pondo juhudi za kuboresha michezo nchini
8th March, 2015
Kwa miaka mitatu hivi kampuni ya G4S na wakfu wa Bhubesi Pride wamekuwa wakitilia pondo juhudi za kuboresha michezo nchini kupitia vijana chipukizi.
wamekuwa nchini hasa katika vitongoji duni kujaribu kutafuta talanta za wachezaji chipukizi.