×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shughuli ya uchujaji wa polisi sasa yaelekea kaunti ya Nakuru

3rd March, 2015

Uchujaji wa polisi sasa unaelekea kaunti ya Nakuru ambapo wanachama wa kamati ya uchujaji wakiongozwa na mwenyekiti wa tume ya huduma za polisi Johnstone Kavuludi kesho wataanza shughuli mjini nakuru. Shughuli hiyo itawashirikisha maafisa 120 wenye ngazi za usimamizi kutoka kaunti za eneo la South Rft. Polisi hao wanaojumuisha wakuu wa polisi wilayani na katika kaunti wanatarajiwa kufika mbele ya kamati ya uchujaji kwenye utaratbu utakaochukua wiki moja. Shughuli hiyo itaelekea eneo la North Rift katika muda wa wiki mbili zijazo
.
RELATED VIDEOS