x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Chelsea lapata ushindi kwenye dimba la capital one

02, Mar 2015

Jose Mourinho alitwaa taji lake la kwanza baada ya kurejea kuongoza klabu ya Chelsea huku akilaza Tottenham Hotspurs mabao 2-0 hapo jana. Mabao ya nahodha wa timu hiyo John Terry na Diego Costa yalikuwa tosha kwa timu hii kutwaa ushindi huo wa dimba la capital one. Ushindi huo ulipokelewa kwa mahanjam na mashabiki wa Chelsea huku kocha wao Jose Mourinho akidokeza kwamba anajihisi kijana barubaru tena. Chelsea iko njiani kutwaa taji la ligi ya uingereza na lile la klabu bingwa ulaya.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback