Kampeni za kuimarisha usalam barabarani zaanzishwa na NTSA
2nd March, 2015
Wizara ya uchukuzi kwa ushirikiano na mamlaka ya ntsa wamezindua mikakati kabambe ya kuimarisha usalama barabarani.. Uamuzi huu umejiri kutokana na takwimu kuonyesha kuwa visa vya ajali barabarani vimeongezeka hususan katika mwezi wa Januari na mwezi wa Februari wa mwaka huu.