x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais wa Namibia anayeondoka atuzwa tuzo ya Mo Ibrahim

02, Mar 2015

Rais wa Namibia anayeondoka Hifikepunye Pohamba ametuzwa tuzo ya Mo Ibrahim ya mwaka wa 2014 yenye thamani ya takriban milioni 450. Pohamba ametuzwa kwa kuwa kiongozi aliyezingatia demokrasia na kuboresha uchumi wa taifa la Namibia. Pohamba ametajwa kuwa kiongozi mwenye maadili na sera nzuri za uongozi.tuzo hiyo pia iliwavutia marais wengine wa Afrika akiwemo Rais mstaafu Mwai Kibaki pamoja na Armando Guebuzza wa msumbiji ambao pia walitazamiwa kuibuka washindi.

Feedback