Uongozi wa Mombasa wawapa ilani vijana wa Old Town kuacha uhalifu,
1st March, 2015
Uongozi wa kaunti ya Mombasa,umewapa ilani vijana wa mji wa kale,yaani Old Town wanaojihusisha na uhalifu,kuacha kufanya hivyo mara moja, la sivyo, wachukue hatua mikononi mwao.