Wiliam Ruto: Hatutamsaza yeyote anayeleta vurugu katika maeneo ya kufuga mifugo
1st March, 2015
Hatutamsaza yeyote anayeleta vurugu katika maeneo ya kufuga mifugo. Ndio kauli aliyotoa Naibu Rais Wiliam Ruto alipokuwa akihudhuria misa kaunti ya Baringo.