×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa Jumuiya ya Pwani wanafanya mpango kurai Kaunti zote za Pwani

28th February, 2015

Viongozi wa jumuiya ya pwani wamesema kuwa wanafanya mpango kurai kaunti zote za pwani kupunguza utoaji wa ushuru kuhakikisha kuwa ni maeneo huru kwa wawekezaji. Viongozi hao wamesema kuwa viwango vya juu vya ushuru ni mojawapo ya sababu zinazowazuia waekezaji kuwekeza katika eneo la pwani licha ya kuwa ni eneo lililo na uwezo mkubwa wa uwekezaji. Kamati za fedha za kila kaunti zitatakiwa kusalia na kufanya mpango wa ushuru kabla ya kuuwasilisha kwenye bunge za kaunti hizo. Jumuiya hiyo ilikutana na washikadau wa kibinafsi katika sekta tofauti kuweka mikakati ya kuwavutia waekezaji. Aidha wamesema kuwa mpango wao ni kuziba tofauti za kibiashara katika kaunti zote za pwani na kuwaleta pamoja watu tofauti tofauti licha ya kabila zao au wanakotoka.
.
RELATED VIDEOS