×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wenyeji wa Kinangop wadai kutohusishwa vilivyo katika mpango wa kawi

27th February, 2015

Waziri wa kawi davies chirchir amesema kuwa serikali inafanya kila iwezalo kuona kwamba mahitaji ya wenyeji wa kinangop yameangaziwa. Wakaazi wa sehemu ya kinangop waliandamana hapa jijini wiki moja iliyopita wakimtaka rais kenyatta kuingilia suala hilo. Tangu kuanzishwa kwa mipango ya kuzalisha nguvu za umeme kutokana na upepo, visa vya uhalifu vimeongezeka wakati wakaazi hao wakijaribu kulinda ardhi yao.
.
RELATED VIDEOS