×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msichana atarajia kuingia katika Guinness World Book of Records kwa kuwa na kiambatisho kirefu zaidi

22nd February, 2015

Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 15 kutoka eneo la Nyahururu sasa anatarajia kuingia katika kitabu cha Guinness World Book of Records kwa kuwa na kiambatisho kirefu zaidi mwilini mwake maarufu kama appendix. Winnie Njeri ni mwanafunzi wa kidato cha pili.
.
RELATED VIDEOS