x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakenya walaumu serikali kwa kuzima masafa ya vyombo vya habari

21, Feb 2015

Wakenya hawajaridhika na njia mpya za kupata habari baada ya kufungwa kwa masafa ya kupeperushia habari ya stesheni nne za KTN, Citizen, NTV na QTV. Wakenya wameitwika serikalilawama za kuzima masafa hayo. Aidha, tofauti na madai ya mamlaka ya mawasiliano kwamba vidubwasha vilivyo nchini vinatosha, wakenya wengi wamekiri kuwa hawana.

RELATED VIDEOS


Feedback