×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Karo ya wanafunzi wa kutwa ni Kshs 9 374 and 53 000 kwa wa bueni

20th February, 2015

Kufuatia kuundwa na kuwasilishwa kwa ripoti ya dkt. Kilemi mwiria kutatua swala la kuongezeka kwa karo za shule za sekondari, waziri wa elimu jacob kaimenyi hii leo ametangaza karo mpya zinazotofautiana na zile zilizopendekezwa na tume hiyo… karo hizi mpya zikiwa zimezidi kwa asilimia 31 . Aidha kaimenyi amethibithisha kuwa serikali itagharamia malipo kamili ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne kcse kwa wanafunzi wote katika shule za sekondari za umma.
.
RELATED VIDEOS