×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekuwa dereva wa marehemu George Muchai azikwa

18th February, 2015

Jamaa na marafiki wa aliyekuwa dereva wa marehemu George Muchai ambaye pia aliuawa wakati mmoja na mwajiri wake, wamejumuika nyumbani kwake katika eneo la Mukurweini kwa hafla ya mazishi. Kamanda wa polisi katika kaunti ya Nairobi Benson Kibue amewakilisha idara ya polisi ambapo ametoa onyo kwa wanaohusika kwenye uhalifu na mauaji ya kiholela.
.
RELATED VIDEOS