x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Zaidi ya washirika 15000 kushiriki makala ya pili ya mashindano ya mbio za First Lady

12, Feb 2015

Makala ya pili ya mashindano ya mbio za first lady ambayo yatafanyika tarehe 8 mwezi huu yatamalizika katika uwanja wa Nyayo huku washiriki zaidi ya 15000 wakitarajiwa kushiriki. Makala ya kwanza ya mbio hizi yalioanzishwa mwaka uliopita na mke wa rais wa kenya, Bi Margaret Kenyatta yalimalizika katika eneo la Uhuru gardens kwenye barabara ya Langata. Washiriki 12000 walijitokeza mwaka uliopita. Huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka mwaka huu, waandalizi wa mashindano haya wamedokeza kuwa watakaomaliza katika nafasi ishirini za kwanza watatuzwa huku mshindi wa kilomita 21 akipata 750,000, mshindi wa mbio za kilomita 10 atapata kitita cha shilingi 250,00.

Feedback