×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali yaanza kuwasajili kuwa raia watu ambao wameishi humu nchini kwa miaka mingi

12th February, 2015

Serikali imeanza kuwasajili kuwa raia watu wa mataifa mengine ambao wameishi humu nchini kwa miaka mingi. Hatua hiyo itahakikisha watu hao wamepata vitambulisho vya taifa. Shughuli hiyo imeanzia kaunti ya Kwale ambako jamii ya Wamakonde kutoka msumbiji imekuwa ikiishi kwa zaidi ya miaka 50.
.
RELATED VIDEOS