Viongozi wa KAYA wapinga wito wa kumuondao Muhammad Swazuri
9th February, 2015
Viongozi wakuu wa KAYA kutoka kaunti za Pwani waliwaongoza maelfu ya maskwota kupinga wito wa kumuondoa mamlakani mwenyekiti wa tume ya ardhi nchini Mohammed Swazuri kutokana na tofauti baina yake na waziri Charity Ngilu.