Asilimia kubwa ya walimu waliodinda kurejea shuleni walisomea katika kaunti ya Garissa
8th February, 2015
Huku baadhi ya waalimu wanaohudumu katika eneo la kaskazini mashariki wakizidi kudinda kurejea shuleni imebainika kwamba asilimia kubwa ya walimu hao walisomea katika tasisi ya kutoa mafunzo ya ualimu iliyopo katika kaunti ya Garissa .