x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wagombezi wa Kiti cha Seneti ya Homa Bay wanatarajiwa kuongea juu ya uchaguzi

06, Feb 2015

Kampeni za kiti cha useneta katika kaunti ya homabay zimeanza kuingia kwenye mkondo wa lala salama hasa kwa kuwa uchaguzi huo unafanyika baadaye wiki ijayo…. Leo hii wagombezi wanane wa kiti hicho watamenyana kwenye mdahalo wa moja kwa moja wakiwa mjini homabay….. Hafla hiyo itapeperushwa moja kwa moja na runinga ya ktn punde baada ya taarifa hizi. Sasa tunaungana na mwanahabari wetu frank otieno moja kwa moja akiwa Homa Bay.

RELATED VIDEOS


Feedback