×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wawili wafariki,18 wajeruhiwa Kakamega baada ya msingi dhaifu uliokosa udhabiti kuanguka

4th February, 2015

wawili wamefariki dunia na wengine 18 kunusurika katika eneo la Mlimani kaunti ya Kakamega baada ya msingi dhaifu uliokosa udhabiti kuanguka.Wawili hao waliangukia na mchanga ambao ulitokamana na jengo ambalo lilikuwa halijakamilika. Mmoja wa wawili wao alifariki papo hapo na mwingine kufa pindi tu alipofikishwa hospitalini.kulingana na Stanley Nderema ambaye ni afisa wa shirika la NEMA kisa hicho kilisababishwa na udhaifu wa msingi huo ulioleta maafa.aidha afisa wa polisi wa eneo ameahidi kuendeleza uchunguzi zaidi.
.
RELATED VIDEOS