ELIMU NA TAALUMA: Je! watoto wasomee shule za mabweni au za kutwa?
2nd February, 2015
Huku mjadala ukiendelea nchini kuhusu uteuzi wa wanafunzi wa kujiunga na shule za sekondari , leo kwenye makala yetu maalum , elimu na taaluma, tumezungumza na wazazi kubaini hisia zao kuhusu watoto kusomea shule za mabweni au za kutwa . Francis Mtalaki vilevile anakupa kauli za wataalamu wa elimu kuhusu suala zima