×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mvutano baina ya shule ya Buruburu na Metro Villa kwa madai ya unyakuzi wa ardhi

2nd February, 2015

Kulikuwa na hali ya mshike mshike katika shule ya upili ya wasichana ya Buruburu baada ya madai ya unyakuzi wa kipande cha barabara baina ya shule hiyo na nyumba ya Metro Villa.licha ya agizo la waziri wa ardhi Charity Ngilu ya kulipa shule hiyo agizo la kubomoa lango la nyumba hiyo, jitihada za shule za kutaka kubomoa lango hilo ziligonga mwamba.Elvis Kosgei na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS